AddressBookPage Right-click to edit address or label Bonyeza kitufe cha kulia kufanya mabadiliko kwenye anuani au chapa Create a new address Fungua anuani mpya &New &Mpya Copy the currently selected address to the system clipboard Nakili anwani iliyochaguliwa sasa kwenye ubao wa kunakili wa mfumo &Copy &nakili C&lose C&Funga Delete the currently selected address from the list Futa anwani iliyochaguliwa sasa kutoka kwenye orodha Enter address or label to search Weka anwani au chapa ili utafute Export the data in the current tab to a file Toa data katika kichupo cha sasa hadi kwenye faili &Export &Toa &Delete &Futa Choose the address to send coins to Chagua anwani ya kutuma sarafu Choose the address to receive coins with Chagua anwani ya kupokea sarafu C&hoose Chagua These are your Bitcoin addresses for sending payments. Always check the amount and the receiving address before sending coins. Hizi ndizo anwani zako za kutuma malipo ya sarafu ya Bitcoin. Hakikisha kila wakati kiwango na anwani ya kupokea kabla ya kutuma sarafu. These are your Bitcoin addresses for receiving payments. Use the 'Create new receiving address' button in the receive tab to create new addresses. Signing is only possible with addresses of the type 'legacy'. Hizi ndizo anwani zako za Bitcoin za kupokea malipo. Tumia kitufe cha 'Unda anwani mpya ya kupokea' kwenye kichupo cha kupokea ili kuunda anwani mpya. Kutia sahihi kunawezekana tu kwa anwani za aina ya 'urithi'. &Copy Address Nakili &anwani Copy &Label Nakili & Chapa &Edit & hariri Export Address List Toa orodha ya anuani Comma separated file Expanded name of the CSV file format. See: https://en.wikipedia.org/wiki/Comma-separated_values. Faili linalotenganishwa kwa mkato There was an error trying to save the address list to %1. Please try again. An error message. %1 is a stand-in argument for the name of the file we attempted to save to. Kulikuwa na kosa jaribu kuokoa orodha ya anwani kwa %1. Tafadhali jaribu tena. Exporting Failed Utoaji Haujafanikiwa AddressTableModel Label Chapa Address Anuani (no label) (hamna chapa) AskPassphraseDialog Passphrase Dialog Kisanduku Kidadisi cha Nenosiri Enter passphrase Ingiza nenosiri New passphrase Nenosiri jipya Repeat new passphrase Rudia nenosiri jipya Show passphrase Onyesha nenosiri Encrypt wallet Simba mkoba This operation needs your wallet passphrase to unlock the wallet. Operesheni hii inahitaji kaulisiri ya mkoba wako ili kufungua pochi. Unlock wallet Fungua mkoba Change passphrase Badilisha nenosiri  Confirm wallet encryption Thibitisha usimbaji fiche wa pochi Warning: If you encrypt your wallet and lose your passphrase, you will <b>LOSE ALL OF YOUR BITCOINS</b>! Ilani: Ikiwa utasimba pochi yako na ukapoteza nenosiri lako, <b> UTAPOTEZA BITCOIN ZAKO ZOTE </b>! Are you sure you wish to encrypt your wallet? Je, una uhakika ungependa kusimba kibeti chako kwa njia fiche? Wallet encrypted Wallet imesimbwa kwa njia fiche Enter the new passphrase for the wallet.<br/>Please use a passphrase of <b>ten or more random characters</b>, or <b>eight or more words</b>. Ingiza nenosiri jipya kwa ajili ya pochi yako.<br/>Tafadhali tumia nenosiri la <b>herufi holelaholela kumi au zaidi</b>, au <b>maneno kumi au zaidi</b>. Enter the old passphrase and new passphrase for the wallet. Ingiza nenosiri la zamani na nenosiri jipya la pochi yako. Remember that encrypting your wallet cannot fully protect your bitcoins from being stolen by malware infecting your computer. Kumbuka kwamba usimbaji fiche wa mkoba wako hauwezi kulinda bitcoins zako zisiibiwe na programu hasidi kuambukiza kompyuta yako. Wallet to be encrypted Wallet itasimbwa kwa njia fiche Your wallet is about to be encrypted. Mkoba wako unakaribia kusimbwa kwa njia fiche. Your wallet is now encrypted. Mkoba wako sasa umesimbwa kwa njia fiche. IMPORTANT: Any previous backups you have made of your wallet file should be replaced with the newly generated, encrypted wallet file. For security reasons, previous backups of the unencrypted wallet file will become useless as soon as you start using the new, encrypted wallet. MUHIMU: Chelezo zozote ulizofanya hapo awali za faili lako la pochi zinapaswa kubadilishwa na faili mpya ya pochi iliyosimbwa. Kwa sababu za usalama, chelezo za awali za faili la pochi lisilosimbwa zitakuwa hazifai mara tu utakapoanza kutumia pochi mpya iliyosimbwa.   Wallet encryption failed Usimbaji fiche wa Wallet haukufaulu Wallet encryption failed due to an internal error. Your wallet was not encrypted. Usimbaji fiche wa Wallet umeshindwa kwa sababu ya hitilafu ya ndani. Pochi yako haikusimbwa kwa njia fiche. The supplied passphrases do not match. Nenosiri liliyotolewa haifanani. The passphrase entered for the wallet decryption was incorrect. Nenosiri liliyoingizwa kwa ajili ya kufungua pochi sio sahihi. The passphrase entered for the wallet decryption is incorrect. It contains a null character (ie - a zero byte). If the passphrase was set with a version of this software prior to 25.0, please try again with only the characters up to — but not including — the first null character. If this is successful, please set a new passphrase to avoid this issue in the future. Nenosiri lililowekwa kwa ajili ya kusimbua mkoba si sahihi. Ina herufi tupu (yaani - zero byte). Ikiwa kaulisiri iliwekwa na toleo la programu hii kabla ya 25.0, tafadhali jaribu tena na herufi tu hadi - lakini bila kujumuisha - herufi batili ya kwanza. Hili likifanikiwa, tafadhali weka kaulisiri mpya ili kuepuka tatizo hili katika siku zijazo. Wallet passphrase was successfully changed. Nenosiri la pochi limefanikiwa kubadilishwa. Passphrase change failed Mabadiliko ya nenosiri hayajafanikiwa The old passphrase entered for the wallet decryption is incorrect. It contains a null character (ie - a zero byte). If the passphrase was set with a version of this software prior to 25.0, please try again with only the characters up to — but not including — the first null character. Nenosiri la zamani liliyoingizwa kwa ajili ya kufungulia pochi sio sahihi. Linabeba herufi batili (yaani - yenye byte 0 ). Kama nenosiri liliwekwa na toleo la programu hii kabla ya 25.0, tafadhali jaribu tena na herufi zote mpaka — lakini usiweka — herufi batili ya kwanza. Warning: The Caps Lock key is on! Onyo: Kitufe cha Caps Lock kimewashwa! BanTableModel Banned Until Imepigwa Marufuku Hadi BitcoinApplication Runaway exception Ubaguzi wa kukimbia A fatal error occurred. %1 can no longer continue safely and will quit. Kosa kubwa limejitokeza. %1 haliwezi kuendelea salama na litajiondoa. Internal error Hitilafu ya ndani An internal error occurred. %1 will attempt to continue safely. This is an unexpected bug which can be reported as described below. Hitilafu ya ndani ilitokea. %1 itajaribu kuendelea salama. Hii ni mdudu usiotarajiwa ambao unaweza kuripotiwa kama ilivyoelezwa hapa chini. QObject Do you want to reset settings to default values, or to abort without making changes? Explanatory text shown on startup when the settings file cannot be read. Prompts user to make a choice between resetting or aborting. Unataka kurejesha mipangilio kwa thamani za awali, au kusitisha bila kufanya mabadiliko? A fatal error occurred. Check that settings file is writable, or try running with -nosettings. Explanatory text shown on startup when the settings file could not be written. Prompts user to check that we have the ability to write to the file. Explains that the user has the option of running without a settings file. Kosa kubwa limejitokeza. Angalia kwamba faili ya mipangilio inaweza kuandikwa, au jaribu kuendesha na -nosettings. Error: %1 Kosa: %1 %1 didn't yet exit safely… %1 bado hajaondoka salama... %n second(s) %n minute(s) %n hour(s) %n day(s) %n week(s) %n year(s) BitcoinGUI &Overview &Muhtasari Show general overview of wallet Onyesha muhtasari wa jumla wa mkoba &Transactions &Shughuli za malipo Browse transaction history Angalia historia ya shughuli za malipo Quit application Acha programu &About %1 Kuhusu %1 Show information about %1 Onyesha habari kuhusu %1 About &Qt Kuhusu &Qt Modify configuration options for %1 Badilisha chaguo za usanidi kwa %1 Create a new wallet Unda mkoba mpya &Minimize Kupunguza Wallet: Mkoba: Network activity disabled. A substring of the tooltip. Shughuli ya mtandao imelemazwa. Proxy is <b>enabled</b>: %1 Proxy imeamilishwa: %1 Send coins to a Bitcoin address Tuma sarafu kwa anwani ya Bitcoin Backup wallet to another location Cheleza mkoba hadi eneo lingine Change the passphrase used for wallet encryption Badilisha nenosiri liliyotumika kusimba pochi &Send &TUMA &Options… &Chaguo... Encrypt the private keys that belong to your wallet Funga funguo za siri zinazomiliki mkoba wako. &Change Passphrase… &Badilisha Nenosiri... Sign &message… Saini &ujumbe... Sign messages with your Bitcoin addresses to prove you own them Saini ujumbe na anwani zako za Bitcoin ili kuthibitisha umiliki wao. Verify messages to ensure they were signed with specified Bitcoin addresses Hakikisha ujumbe umethibitishwa kuwa ulisainiwa na anwani za Bitcoin zilizotajwa Open &URI… Fungua &URI ... Close Wallet… Funga pochi Create Wallet… Unda pochi Close All Wallets… Funga pochi yzote &File &Faili &Settings &Vipimo &Help &Msaidie Tabs toolbar Vidirisha vya vichupo Syncing Headers (%1%)… Kuunganisha Vichwa vya habari (%1%) ... Synchronizing with network… Kuunganisha na mtandao ... Indexing blocks on disk… Kuweka alama za vitengo kwenye diski ... Processing blocks on disk… Kusindika vitalu kwenye diski ... Connecting to peers… Kuunganisha na wenzako wa kushirikiana... Request payments (generates QR codes and bitcoin: URIs) Omba malipo (huzalisha nambari za QR na bitcoin: URIs) Show the list of used sending addresses and labels Onyesha orodha ya anuani za kutuma na chapa Show the list of used receiving addresses and labels Onyesha orodha ya anuani za kupokea zilizotumika na chapa &Command-line options &Chaguo za amri ya amri Processed %n block(s) of transaction history. Wallet Name Label of the input field where the name of the wallet is entered. Jina la Wallet %n active connection(s) to Bitcoin network. A substring of the tooltip. Error: %1 Kosa: %1 Label: %1 Chapa: %1 CoinControlDialog Quantity: Wingi Received with label Imepokelewa na chapa Copy &label Nakili &chapa (no label) (hamna chapa) RestoreWalletActivity Restore wallet warning Title of message box which is displayed when the wallet is restored with some warning. Rejesha onyo la pochi WalletController Closing the wallet for too long can result in having to resync the entire chain if pruning is enabled. Kufunga pochi kwa muda mrefu sana kunaweza kusababisha kusawazisha tena mnyororo mzima ikiwa upogoaji umewezeshwa. CreateWalletDialog Wallet Name Jina la Wallet Encrypt the wallet. The wallet will be encrypted with a passphrase of your choice. Simba pochi. Pochi itasimbwa kwa kutumia nenosiri utakalo chagua. Disable private keys for this wallet. Wallets with private keys disabled will have no private keys and cannot have an HD seed or imported private keys. This is ideal for watch-only wallets. Zima funguo za siri kwa ajili ya pochi hii. Pochi zenye funguo za siri zilizozimwa hazitakua na funguo za siri na hazitakuwa na mbegu ya HD au funguo za siri zilizoingizwa. Hii inafaa kwa pochi za uangalizi tu. Make a blank wallet. Blank wallets do not initially have private keys or scripts. Private keys and addresses can be imported, or an HD seed can be set, at a later time. Tengeneza pochi tupu. Pochi tupu kwa kuanza hazina funguo za siri au hati. Funguo za siri zinaweza kuingizwa, au mbegu ya HD inaweza kuwekwa baadae. Use an external signing device such as a hardware wallet. Configure the external signer script in wallet preferences first. Tumia kifaa cha kutia sahihi cha nje kama vile pochi ya maunzi. Sanidi hati ya kutia sahihi ya nje katika mapendeleo ya pochi kwanza. EditAddressDialog &Label &Chapa The label associated with this address list entry Chapa inayohusiana na hiki kipendele cha orodha ya anuani Edit sending address Badilisha anwani ya kutuma Address "%1" already exists as a receiving address with label "%2" and so cannot be added as a sending address. Anuani "%1" ipo teyari kama anuani ya kupokea ikiwa na chapa "%2" hivyo haiwezi kuongezwa kama anuani ya kutuma. The entered address "%1" is already in the address book with label "%2". Anuani iliyoingizwa "%1" teyari ipo kwenye kitabu cha anuani ikiwa na chapa "%2". Could not unlock wallet. Haikuweza kufungua pochi. New key generation failed. Uzalishaji mpya wa ufunguo umeshindwa. FreespaceChecker A new data directory will be created. Saraka mpya ya data itaundwa. name Jina Path already exists, and is not a directory. Njia tayari ipo, na si saraka. Cannot create data directory here. Haiwezi kuunda saraka ya data hapa. Intro %n GB of space available (of %n GB needed) (%n GB needed for full chain) (sufficient to restore backups %n day(s) old) Explanatory text on the capability of the current prune target. PeerTableModel Address Title of Peers Table column which contains the IP/Onion/I2P address of the connected peer. Anuani QRImageWidget Resulting URI too long, try to reduce the text for label / message. URI inayotokea ni ndefu sana. Jaribu kupunguza maandishi ya chapa / ujumbe. ReceiveCoinsDialog &Label: &Chapa: An optional label to associate with the new receiving address. Chapa ya hiari kuhusisha na anuani mpya ya kupokea. An optional label to associate with the new receiving address (used by you to identify an invoice). It is also attached to the payment request. Chapa ya hiari kuhusisha na anuani mpya ya kupokea (hutumika na wewe kutambua ankara). Pia huambatanishwa kwenye ombi la malipo. Copy &label Nakili &chapa Could not unlock wallet. Haikuweza kufungua pochi. ReceiveRequestDialog Label: Chapa: Wallet: Mkoba: RecentRequestsTableModel Label Chapa (no label) (hamna chapa) SendCoinsDialog Quantity: Wingi Estimated to begin confirmation within %n block(s). (no label) (hamna chapa) SendCoinsEntry &Label: &Chapa: Enter a label for this address to add it to the list of used addresses Ingiza chapa kwa ajili ya anuani hii kuiongeza katika orodha ya anuani zilizotumika TransactionDesc label chapa matures in %n more block(s) TransactionTableModel Label Chapa (no label) (hamna chapa) TransactionView Enter address, transaction id, or label to search Ingiza anuani, kitambulisho cha muamala, au chapa kutafuta Copy &label Nakili &chapa &Edit address label &Hariri chapa ya anuani Export Transaction History Toa Historia ya Miamala Comma separated file Expanded name of the CSV file format. See: https://en.wikipedia.org/wiki/Comma-separated_values. Faili linalotenganishwa kwa mkato Label Chapa Address Anuani Exporting Failed Utoaji Haujafanikiwa Exporting Successful Utoaji Umefanikiwa WalletFrame Create a new wallet Unda mkoba mpya WalletView &Export &Toa Export the data in the current tab to a file Toa data katika kichupo cha sasa hadi kwenye faili bitcoin-core More than one onion bind address is provided. Using %s for the automatically created Tor onion service. Zaidi ya anuani moja ya onion bind imetolewa. Inatumia %skwa ajili ya huduma ya Tor onion inayotengeneza kiotomatiki. Cannot resolve -%s address: '%s' Imeshindwa kutatua -%s anuani: '%s' Error: Address book data in wallet cannot be identified to belong to migrated wallets Hitilafu: Data za kitabu cha anunai katika pochi haziwezi kutambulika kuwa ni ya pochi zilizohamia. Error: No %s addresses available. Hitilafu: Hamna anuani zilizopo %s. Error: Unable to remove watchonly address book data Hitilafu: Imeshindwa kuondoa data katika kitabu cha anuani ya kutazama tu Importing… Inaingizwa... Invalid -i2psam address or hostname: '%s' Anuani ya -i2psam au jina la mwenyeji ni batili: '%s' Invalid -onion address or hostname: '%s' Anuani ya onion au jina la mwenyeji ni batili: '%s' Invalid -proxy address or hostname: '%s' Anuani ya wakala au jina la mwenyeji ni batili: '%s' Loading P2P addresses… Tunapakia anuani za P2P No addresses available Hakuna anuani zinazopatikana Transaction needs a change address, but we can't generate it. Muamala unahitaji mabadiliko ya anuani, lakini hatuwezi kuitengeneza. Unknown address type '%s' Aina ya anuani haifahamiki '%s' Verifying wallet(s)… Kuthibitisha mkoba/mikoba